Native Bible

Proverbs 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu.

Proverbs 4:1 in English

Proverbs 4:1 · Berean Standard Bible

Listen, my sons, to a father’s instruction; pay attention and gain understanding.

Context

1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 2Ninawapa mafundisho ya maana, kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 3Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.