Native Bible

Proverbs 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninawapa mafundisho ya maana, kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu.

Proverbs 4:2 in English

Proverbs 4:2 · Berean Standard Bible

For I give you sound teaching; do not abandon my directive.

Context

1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 2Ninawapa mafundisho ya maana, kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 3Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu, 4baba alinifundisha akisema, “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; yashike maagizo yangu na wewe utaishi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.