Native Bible

Proverbs 27:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo.

Proverbs 27:21 in English

Proverbs 27:21 · Berean Standard Bible

A crucible for silver and a furnace for gold, but a man is tested by the praise accorded him.

Context

19Kama uso uonekanavyo kwenye maji, ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonyesha alivyo. 20Kuzimu na Uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu. 21Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. 22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, hutauondoa upumbavu wake. 23Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ngʼombe zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.