Native Bible

Proverbs 27:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuzimu na Uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu.

Proverbs 27:20 in English

Proverbs 27:20 · Berean Standard Bible

Sheol and Abaddon * are never satisfied; so the eyes of man are never satisfied.

Context

18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 19Kama uso uonekanavyo kwenye maji, ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonyesha alivyo. 20Kuzimu na Uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu. 21Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. 22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, hutauondoa upumbavu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.