Mithali 26:8
Proverbs 26:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama kufunga jiwe kwenye kombeo, ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima.
Proverbs 26:8 in English
Proverbs 26:8 · Berean Standard Bible
Like binding a stone into a sling is the giving of honor to a fool.
Context
6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara,
ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 7Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia
ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. 8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. 9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi
ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. 10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo,
ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.