Native Bible

Proverbs 26:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.

Proverbs 26:6 in English

Proverbs 26:6 · Berean Standard Bible

Like cutting off one’s own feet or drinking violence is the sending of a message by the hand of a fool.

Context

4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 7Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. 8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo, ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.