Mithali 26:7
Proverbs 26:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Proverbs 26:7 in English
Proverbs 26:7 · Berean Standard Bible
Like lame legs hanging limp is a proverb in the mouth of a fool.
Context
5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake,
ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara,
ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 7Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia
ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. 8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. 9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi
ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.