Mithali 26:10
Proverbs 26:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani.
Proverbs 26:10 in English
Proverbs 26:10 · Berean Standard Bible
Like an archer who wounds at random is he who hires a fool or passerby.
Context
8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. 9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi
ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. 10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo,
ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani. 11Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake,
ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. 12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima
machoni pake mwenyewe?
Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.