Native Bible

Proverbs 26:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.

Proverbs 26:11 in English

Proverbs 26:11 · Berean Standard Bible

As a dog returns to its vomit,* so a fool repeats his folly.

Context

9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. 10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani. 11Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. 12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, simba mkali anazunguka mitaa!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.