Native Bible

Proverbs 24:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona, nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona:

Proverbs 24:32 in English

Proverbs 24:32 · Berean Standard Bible

I observed and took it to heart; I looked and received instruction:

Context

30Nilipita karibu na shamba la mvivu, karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 31miiba ilikuwa imeota kila mahali, ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka. 32Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona, nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona: 33Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 34hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.