Mithali 24:30
Proverbs 24:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilipita karibu na shamba la mvivu, karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili,
Proverbs 24:30 in English
Proverbs 24:30 · Berean Standard Bible
I went past the field of a slacker and by the vineyard of a man lacking judgment.
Context
28Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu,
au kutumia midomo yako kudanganya. 29Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi;
nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” 30Nilipita karibu na shamba la mvivu,
karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 31miiba ilikuwa imeota kila mahali,
ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na
ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka. 32Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona,
nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.