Mithali 22:4
Proverbs 22:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unyenyekevu na kumcha Bwana huleta utajiri, heshima na uzima.
Proverbs 22:4 in English
Proverbs 22:4 · Berean Standard Bible
The rewards of humility and the fear of the LORD are wealth and honor and life.
Context
2Tajiri na maskini wanafanana kwa hili:
Bwana ni Muumba wao wote. 3Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,
bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 4Unyenyekevu na kumcha Bwana
huleta utajiri, heshima na uzima. 5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego,
bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo. 6Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea,
naye hataiacha hata akiwa mzee.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.