Mithali 22:2
Proverbs 22:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: Bwana ni Muumba wao wote.
Proverbs 22:2 in English
Proverbs 22:2 · Berean Standard Bible
The rich and the poor have this in common: The LORD is Maker of them all.
Context
1Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi,
kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu. 2Tajiri na maskini wanafanana kwa hili:
Bwana ni Muumba wao wote. 3Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,
bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 4Unyenyekevu na kumcha Bwana
huleta utajiri, heshima na uzima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.