Native Bible

Proverbs 22:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa.

Proverbs 22:3 in English

Proverbs 22:3 · Berean Standard Bible

The prudent see danger and take cover, but the simple keep going and suffer the consequences.

Context

1Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi, kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu. 2Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: Bwana ni Muumba wao wote. 3Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 4Unyenyekevu na kumcha Bwana huleta utajiri, heshima na uzima. 5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego, bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.