Native Bible

Proverbs 22:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika,

Proverbs 22:24 in English

Proverbs 22:24 · Berean Standard Bible

Do not make friends with an angry man, and do not associate with a hot-tempered man,

Context

22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 23kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka. 24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 25la sivyo utajifunza njia zake na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. 26Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.