Mithali 22:25
Proverbs 22:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
la sivyo utajifunza njia zake na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego.
Proverbs 22:25 in English
Proverbs 22:25 · Berean Standard Bible
or you may learn his ways and entangle yourself in a snare.
Context
23kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao
naye atawateka wao waliowateka. 24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka,
usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 25la sivyo utajifunza njia zake
na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. 26Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani,
au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. 27Kama ukikosa njia ya kulipa,
kitanda chako
kitachukuliwa ukiwa umekilalia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.