Mithali 22:23
Proverbs 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka.
Proverbs 22:23 in English
Proverbs 22:23 · Berean Standard Bible
for the LORD will take up their case and will plunder those who rob them.
Context
21kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika,
ili uweze kutoa majibu sahihi
kwake yeye aliyekutuma? 22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini,
wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 23kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao
naye atawateka wao waliowateka. 24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka,
usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 25la sivyo utajifunza njia zake
na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.