Native Bible

Proverbs 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, ili uweze kutoa majibu sahihi kwake yeye aliyekutuma?

Proverbs 22:21 in English

Proverbs 22:21 · Berean Standard Bible

to show you true and reliable words, that you may soundly answer those who sent you?

Context

19Ili tumaini lako liwe katika Bwana, hata wewe, ninakufundisha leo. 20Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa, 21kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, ili uweze kutoa majibu sahihi kwake yeye aliyekutuma? 22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 23kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.