Native Bible

Proverbs 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa,

Proverbs 22:20 in English

Proverbs 22:20 · Berean Standard Bible

Have I not written for you thirty sayings * about counsel and knowledge,

Context

18kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. 19Ili tumaini lako liwe katika Bwana, hata wewe, ninakufundisha leo. 20Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa, 21kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, ili uweze kutoa majibu sahihi kwake yeye aliyekutuma? 22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, wala kumdhulumu mhitaji mahakamani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.