Mithali 22:19
Proverbs 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ili tumaini lako liwe katika Bwana, hata wewe, ninakufundisha leo.
Proverbs 22:19 in English
Proverbs 22:19 · Berean Standard Bible
So that your trust may be in the LORD, I instruct you today—yes, you.
Context
17Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima,
elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 18kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako
na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. 19Ili tumaini lako liwe katika Bwana,
hata wewe, ninakufundisha leo. 20Je, sijakuandikia misemo thelathini,
misemo ya mashauri na maarifa, 21kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika,
ili uweze kutoa majibu sahihi
kwake yeye aliyekutuma?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.