Mithali 18:23
Proverbs 18:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu maskini huomba kuhurumiwa bali tajiri hujibu kwa ukali.
Proverbs 18:23 in English
Proverbs 18:23 · Berean Standard Bible
The poor man pleads for mercy, but the rich man answers harshly.
Context
21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi,
nao waupendao watakula matunda yake. 22Apataye mke apata kitu chema
naye ajipatia kibali kwa Bwana. 23Mtu maskini huomba kuhurumiwa
bali tajiri hujibu kwa ukali. 24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu,
bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.