Native Bible

Proverbs 18:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

Proverbs 18:24 in English

Proverbs 18:24 · Berean Standard Bible

A man of many companions may come to ruin, but there is a friend who stays closer than a brother.

Context

22Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa Bwana. 23Mtu maskini huomba kuhurumiwa bali tajiri hujibu kwa ukali. 24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.