Native Bible

Proverbs 18:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Proverbs 18:22 in English

Proverbs 18:22 · Berean Standard Bible

He who finds a wife finds a good thing and obtains favor from the LORD.

Context

20Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. 21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake. 22Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa Bwana. 23Mtu maskini huomba kuhurumiwa bali tajiri hujibu kwa ukali. 24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.