Native Bible

Proverbs 15:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya.

Proverbs 15:28 in English

Proverbs 15:28 · Berean Standard Bible

The heart of the righteous ponders how to answer, but the mouth of the wicked blurts out evil.

Context

26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 29Bwana yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki. 30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni, nazo habari njema huipa mifupa afya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.