Mithali 15:29
Proverbs 15:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.
Proverbs 15:29 in English
Proverbs 15:29 · Berean Standard Bible
The LORD is far from the wicked, but He hears the prayer of the righteous.
Context
27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu,
bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake,
bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 29Bwana yuko mbali na waovu,
bali husikia maombi ya wenye haki. 30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni,
nazo habari njema huipa mifupa afya. 31Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima
atakuwa miongoni mwa wenye hekima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.