Native Bible

Proverbs 15:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwenye mzaha huchukia maonyo; hatataka shauri kwa mwenye hekima.

Proverbs 15:12 in English

Proverbs 15:12 · Berean Standard Bible

A mocker does not love to be reproved, nor will he consult the wise.

Context

10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa. 11Mauti* na Uharibifu* viko wazi mbele za Bwana: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu! 12Mwenye mzaha huchukia maonyo; hatataka shauri kwa mwenye hekima. 13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, bali maumivu ya moyoni huponda roho. 14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.