Mithali 15:10
Proverbs 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa.
Proverbs 15:10 in English
Proverbs 15:10 · Berean Standard Bible
Discipline is harsh for him who leaves the path; he who hates correction will die.
Context
8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu,
bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 9Bwana huchukia sana njia ya waovu,
bali huwapenda wale wafuatao haki. 10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia;
yeye achukiaye maonyo atakufa. 11Mauti* na Uharibifu* viko wazi mbele za Bwana:
je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu! 12Mwenye mzaha huchukia maonyo;
hatataka shauri kwa mwenye hekima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.