Native Bible

Proverbs 15:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu.

Proverbs 15:8 in English

Proverbs 15:8 · Berean Standard Bible

The sacrifice of the wicked is detestable to the LORD, but the prayer of the upright is His delight.

Context

6Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu. 7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 9Bwana huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki. 10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.