Native Bible

Proverbs 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mauti* na Uharibifu* viko wazi mbele za Bwana: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu!

Proverbs 15:11 in English

Proverbs 15:11 · Berean Standard Bible

Sheol and Abaddon * lie open before the LORD— how much more the hearts of men!

Context

9Bwana huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki. 10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa. 11Mauti* na Uharibifu* viko wazi mbele za Bwana: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu! 12Mwenye mzaha huchukia maonyo; hatataka shauri kwa mwenye hekima. 13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, bali maumivu ya moyoni huponda roho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.