Native Bible

Proverbs 15:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu.

Proverbs 15:14 in English

Proverbs 15:14 · Berean Standard Bible

A discerning heart seeks knowledge, but the mouth of a fool feeds on folly.

Context

12Mwenye mzaha huchukia maonyo; hatataka shauri kwa mwenye hekima. 13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, bali maumivu ya moyoni huponda roho. 14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 15Siku zote za wanaoonewa ni za taabu, bali moyo mchangamfu una karamu ya kudumu. 16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.