Native Bible

Proverbs 14:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana marafiki wengi.

Proverbs 14:20 in English

Proverbs 14:20 · Berean Standard Bible

The poor man is hated even by his neighbor, but many are those who love the rich.

Context

18Mjinga hurithi upumbavu, bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji. 19Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema, nao waovu kwenye malango ya wenye haki. 20Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana marafiki wengi. 21Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. 22Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.