Mithali 13:23
Proverbs 13:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, bali dhuluma hukifutilia mbali.
Proverbs 13:23 in English
Proverbs 13:23 · Berean Standard Bible
Abundant food is in the fallow ground of the poor, but without justice it is swept away.
Context
21Balaa humwandama mtenda dhambi,
bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. 22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi,
bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa
kwa ajili ya wenye haki. 23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi,
bali dhuluma hukifutilia mbali. 24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe,
bali yeye ampendaye
huwa mwangalifu kumwadibisha. 25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake,
bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.