Native Bible

Proverbs 13:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki.

Proverbs 13:21 in English

Proverbs 13:21 · Berean Standard Bible

Disaster pursues sinners, but prosperity is the reward of the righteous.

Context

19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 21Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. 22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa kwa ajili ya wenye haki. 23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, bali dhuluma hukifutilia mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.