Native Bible

Proverbs 13:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara.

Proverbs 13:20 in English

Proverbs 13:20 · Berean Standard Bible

He who walks with the wise will become wise, but the companion of fools will be destroyed.

Context

18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. 19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 21Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. 22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa kwa ajili ya wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.