Native Bible

Proverbs 13:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, bali yeye ampendaye huwa mwangalifu kumwadibisha.

Proverbs 13:24 in English

Proverbs 13:24 · Berean Standard Bible

He who spares the rod hates his son, but he who loves him disciplines him diligently.

Context

22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa kwa ajili ya wenye haki. 23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, bali dhuluma hukifutilia mbali. 24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, bali yeye ampendaye huwa mwangalifu kumwadibisha. 25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.