Wafilipi 2:20
Philippians 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Philippians 2:20 in English
Philippians 2:20 · Berean Standard Bible
I have nobody else like him who will genuinely care for your needs.
Context
18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 19Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu. 20Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi. 21Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Yesu Kristo. 22Lakini ninyi wenyewe mnajua jinsi Timotheo alivyojithibitisha mwenyewe, kwa maana ametumika pamoja nami kwa kazi ya Injili, kama vile mwana kwa baba yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.