Wafilipi 2:18
Philippians 2:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.
Philippians 2:18 in English
Philippians 2:18 · Berean Standard Bible
So you too should be glad and rejoice with me.
Context
16Mkilishika neno la uzima, ili nipate kuona fahari siku ya Kristo kwamba sikupiga mbio wala kujitaabisha bure. 17Lakini hata kama nikimiminwa kama sadaka ya kinywaji kwenye dhabihu na huduma itokayo katika imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote. 18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 19Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu. 20Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.