Native Bible

Philippians 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkilishika neno la uzima, ili nipate kuona fahari siku ya Kristo kwamba sikupiga mbio wala kujitaabisha bure.

Philippians 2:16 in English

Philippians 2:16 · Berean Standard Bible

as you hold forth the word of life, in order that I may boast on the day of Christ that I did not run or labor in vain.

Context

14Fanyeni mambo yote bila kunungʼunika wala kushindana, 15ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni. 16Mkilishika neno la uzima, ili nipate kuona fahari siku ya Kristo kwamba sikupiga mbio wala kujitaabisha bure. 17Lakini hata kama nikimiminwa kama sadaka ya kinywaji kwenye dhabihu na huduma itokayo katika imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote. 18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.