Native Bible

Philippians 2:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ninyi wenyewe mnajua jinsi Timotheo alivyojithibitisha mwenyewe, kwa maana ametumika pamoja nami kwa kazi ya Injili, kama vile mwana kwa baba yake.

Philippians 2:22 in English

Philippians 2:22 · Berean Standard Bible

But you know Timothy’s proven worth, that as a child with his father he has served with me to advance the gospel.

Context

20Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi. 21Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Yesu Kristo. 22Lakini ninyi wenyewe mnajua jinsi Timotheo alivyojithibitisha mwenyewe, kwa maana ametumika pamoja nami kwa kazi ya Injili, kama vile mwana kwa baba yake. 23Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa. 24Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.