Native Bible

Philemon 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,

Philemon 1:4 in English

Philemon 1:4 · Berean Standard Bible

I always thank my God, remembering you in my prayers,

Context

2kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako: 3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 4Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu, 5kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote. 6Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.