Filemoni 1:2
Philemon 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako:
Philemon 1:2 in English
Philemon 1:2 · Berean Standard Bible
to Apphia our sister, to Archippus our fellow soldier, and to the church that meets at your * house:
Context
1Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, pamoja na Timotheo ndugu yetu:
Kwa Filemoni rafiki yetu mpendwa na mtendakazi mwenzetu, 2kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako: 3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 4Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.