Native Bible

Philemon 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.

Philemon 1:3 in English

Philemon 1:3 · Berean Standard Bible

Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ.

Context

1Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, pamoja na Timotheo ndugu yetu: Kwa Filemoni rafiki yetu mpendwa na mtendakazi mwenzetu, 2kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako: 3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 4Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu, 5kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.