Native Bible

Philemon 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote.

Philemon 1:5 in English

Philemon 1:5 · Berean Standard Bible

because I hear about your faith in the Lord Jesus and your love for all the saints.

Context

3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 4Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu, 5kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote. 6Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo. 7Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.