Hesabu 9:4
Numbers 9:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Mose akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,
Numbers 9:4 in English
Numbers 9:4 · Berean Standard Bible
So Moses told the Israelites to observe the Passover,
Context
2“Waamuru Waisraeli waadhimishe Pasaka katika wakati ulioamriwa. 3Adhimisheni wakati ulioamriwa, yaani wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi huu, kufuatana na desturi zake zote na masharti yake.” 4Hivyo Mose akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka, 5nao wakafanya hivyo kwenye Jangwa la Sinai wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. Waisraeli wakafanya kila kitu kama vile Bwana alivyomwamuru Mose. 6Lakini baadhi yao hawakuweza kuadhimisha Pasaka siku ile kwa sababu walikuwa najisi kwa taratibu za kiibada kwa ajili ya kugusa maiti. Kwa hiyo wakamwendea Mose na Aroni siku ile ile,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.