Hesabu 9:2
Numbers 9:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Waamuru Waisraeli waadhimishe Pasaka katika wakati ulioamriwa.
Numbers 9:2 in English
Numbers 9:2 · Berean Standard Bible
“The Israelites are to observe the Passover at its appointed time.
Context
1Bwana akasema na Mose katika Jangwa la Sinai katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa pili baada ya Waisraeli kutoka Misri. Akasema, 2“Waamuru Waisraeli waadhimishe Pasaka katika wakati ulioamriwa. 3Adhimisheni wakati ulioamriwa, yaani wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi huu, kufuatana na desturi zake zote na masharti yake.” 4Hivyo Mose akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.