Hesabu 7:46
Numbers 7:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Numbers 7:46 in English
Numbers 7:46 · Berean Standard Bible
one male goat for a sin offering;
Context
44sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; 45fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 46mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; 47maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Eliasafu mwana wa Deueli. 48Siku ya saba Elishama mwana wa Amihudi, kiongozi wa watu wa Efraimu, alileta sadaka yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.