Hesabu 4:49
Numbers 4:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa amri ya Bwana kupitia Mose, kila mmoja aligawiwa kazi yake na kuambiwa kitu cha kubeba. Hivyo ndivyo walivyohesabiwa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Numbers 4:49 in English
Numbers 4:49 · Berean Standard Bible
At the LORD’s command they were numbered through Moses and each one was assigned his work and burden, as the LORD had commanded Moses.
Context
47Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania 48walikuwa watu 8,580. 49Kwa amri ya Bwana kupitia Mose, kila mmoja aligawiwa kazi yake na kuambiwa kitu cha kubeba.
Hivyo ndivyo walivyohesabiwa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.