Native Bible

Numbers 4:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

walikuwa watu 8,580.

Numbers 4:48 in English

Numbers 4:48 · Berean Standard Bible

And the number of men was 8,580.

Context

46Hivyo Mose, Aroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao. 47Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania 48walikuwa watu 8,580. 49Kwa amri ya Bwana kupitia Mose, kila mmoja aligawiwa kazi yake na kuambiwa kitu cha kubeba. Hivyo ndivyo walivyohesabiwa kama Bwana alivyomwamuru Mose.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.