Hesabu 4:47
Numbers 4:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania
Numbers 4:47 in English
Numbers 4:47 · Berean Standard Bible
from thirty to fifty years old who came to do the work of serving and carrying the Tent of Meeting.
Context
45Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatia amri ya Bwana kupitia kwa Mose. 46Hivyo Mose, Aroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao. 47Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania 48walikuwa watu 8,580. 49Kwa amri ya Bwana kupitia Mose, kila mmoja aligawiwa kazi yake na kuambiwa kitu cha kubeba.
Hivyo ndivyo walivyohesabiwa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.