Native Bible

Numbers 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao.

Numbers 4:2 in English

Numbers 4:2 · Berean Standard Bible

“Take a census of the Kohathites among the Levites by their clans and families,

Context

1Bwana akawaambia Mose na Aroni, 2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao. 3Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania. 4“Hii ndiyo kazi ya Wakohathi katika Hema la Kukutania: Watatunza vitu vilivyo vitakatifu sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.